Interahamwe : Tofauti kati ya masahihisho

wanamgambo waliohusika na mauaji mengi wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994 Rwanda
Content deleted Content added
Created by translating the page "Interahamwe"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:52, 31 Mei 2020

Interahamwe ilikuwa kundi la wanamigambo lililoanzisha mauaji ya kimbari nchini Rwanda mnamo 1994. Katika mauaji haya, takriban milioni moja ya raia, hasa Watutsi na pia Wahutu wasioshikamana nao, waliuawa.

Mbinu

Interahamwemara nyingi walitumia mapanga ( 'mupanga' kwa Kinyarwanda) kwa kutekeleza mauaji, lakini bunduki, mabomu na zana mengine zilitumika.