Kisukari (ugonjwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ChriKo alihamisha ukurasa wa Kisukari hadi Kisukari (ugonjwa): Kisukari inaweza kuwa ndizi au samaki pia
+Prevalence_of_Diabetes_by_Percent_of_Country_Population_(2014)_Gradient_Map.png #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[picha:Prevalence_of_Diabetes_by_Percent_of_Country_Population_(2014)_Gradient_Map.png|thumbnail|right|200px|Ueneaji wa kisukari mwaka 2014]]
'''Kisukari''' au '''bolisukari''' ([[jina]] la kitaalamu: '''diabetes mellitus''') ni [[ugonjwa]] unaoonyesha viwango vikubwa vya [[glukosi]] katika [[damu]]. Sababu yake ni uhaba wa [[homoni]] ya [[insulini]] [[Mwili|mwilini]] au upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini.