Content deleted Content added
Mstari 157:
==[[Majadiliano:Jihadi]]==
Nimerudisha matini ya [[mtumiaji:JJOSY2000]], maana si vizuri tukijaribu kuficha ukosoaji. Akikosoa (bila matusi, bila fujo) ni haki yake, hata kama sababu anazoleta ni dhaifu na mabadiliko aliyoleta hayawezi kubaki maana anaanza kugusa uwanja wa mahubiri. Sitashughulika usiku huu. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 21:15, 18 Januari 2021 (UTC)
::Sawa, ahsante kwa taarifa. '''[[Mtumiaji:Czeus25 Masele|Czeus25 Masele]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Czeus25 Masele#top|majadiliano]])''' 19:12, 19 Januari 2021 (UTC)