Mathias E. Mnyampala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Maelezo ya picha yalikua katika lugha ya Kingereza
Mstari 1:
[[File:Mathias E. Mnyampala.jpg|thumb|Mathias E. Mnyampala (1917-1969) was a Tanzanian lawyer, political activist, essayist, writer, historian and famous poet in Kiswahili language.]][[Mathias E. Mnyampala]] alizaliwa [[18 Novemba]] [[1917]] katika kitongoji cha Muntundya Ihumwa katika [[Wilaya ya Chamwino]], mkoani [[Dodoma]]. Alifariki dunia mjini Dodoma tarehe [[8 Juni]] [[1969]]. Alikuwa mwanasheria, mzalendo wa Taifa la Tanzania na lugha yake [[Kiswahili]], mwandishi na mshairi maarufu.
 
Kufuatana na maoni ya Profesa Madumulla, Mathias E. Mnyampala sasa hivi nchini Tanzania ni ''Jabali Lililosahaulika''. Utafiti wa Vyuo Vikuu vya [[Tanzania]] na ng'ambo, hasa [[Ufaransa]], haukukaa kimya kuhusu kazi yake upande wa Ushairi wa Kiswahili na Historia ya Wagogo wa Tanganyika. Lakini bado matokeo yake yanahitaji kuenezwa.