Ushahidi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ushahidi''' (pia: ''ushuhuda''; kutoka neno la Kiarabu) ni kitu au maelezo yanayotolewa aghalabu kwenye vyombo vya sheria, kwa mfano mahakamani, ili kuthibitisha kuona au kusikia jambo fulani lililotokea. Katika dini ni maneno na matendo ya kuthibitisha ukweli wa imani fulani. Kilele cha ushahidi kinaweza kuwa kifodini. {{mbegu-sheria}} Jamii:sheria Jamii:Dini'
Tag: Disambiguation links
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:30, 22 Januari 2022

Ushahidi (pia: ushuhuda; kutoka neno la Kiarabu) ni kitu au maelezo yanayotolewa aghalabu kwenye vyombo vya sheria, kwa mfano mahakamani, ili kuthibitisha kuona au kusikia jambo fulani lililotokea.

Katika dini ni maneno na matendo ya kuthibitisha ukweli wa imani fulani. Kilele cha ushahidi kinaweza kuwa kifodini.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ushahidi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.