Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
 
Kuhusu mengine uliyoanzisha kwenye ukurasa wako pia fanya utafiti kwanza kabla ya kupakua; mfano tuna tayari makala ya [[vita ya Maji Maji]] ingawa ni fupi sana inaweza kupanushwa kwa kuongeza habari. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:44, 10 Julai 2017 (UTC)
 
== Riccardo sijui kuhariri (kuchangis) Kwa kutumia smartphone he nifanyeje?? ==
 
Learning Jr 10:51, 2 Juni 2022 (UTC)
 
:Samahani, mimi hata simu sina... Sijui ufanyeje. Umuulize mkabidhi mwingine yeyote. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 07:23, 3 Juni 2022 (UTC)
 
::Naona kuhariri kwa simu itakuwa changamoto kwa wengi, pia kwake [[Mtumiaji:Tomson G Wiston|Tomson G Wiston]]. Nikiangalia swali lake, tayari ameshakosea mara 2 tahajia ("kuchangis" badala ya "kuchangia"; "he" badala ya "je"). Si rahisi kuharir vema ukiwa na simu tu. Hakika asijaribu matini ndefu. Menginevyo anahitaji tu nafasi ya kujiunga na intaneti, simu janja halafu aingie sw.m.wikipedia.org na kuhariri. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 18:37, 3 Juni 2022 (UTC)