Hamilton, Ontario : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Settlement |jina_rasmi = Jiji la Hamilton |picha_ya_satelite = HamiltonOntarioSkylineC.JPG‎ |settlement_type = Jiji |subdivision_type ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:15, 13 Februari 2010


Hamilton ni mji mkubwa wa tatu katika mkoa la Ontario. Kunako mwaka wa 2006, idadi ya wakazi ilikuwa 504,559. Eneo lake ni 227.70 m. Mji upo m 75–324 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Jiji la Hamilton
Nchi Kanada
Mkoa Ontario
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 504,559
Tovuti:  www.hamilton.ca

Jina la mji lilitolewa kwa heshima ya George Hamilton, ambao walianzisha mji.

Mji ulianzishwa mwaka 1846.

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hamilton, Ontario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.