Kariobangi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kariobangi
d Reverted edits by Muddyb Blast Producer (Talk); changed back to last version by Kipala
Mstari 1:
'''Kariobangi''' ni mtaa wa [[Nairobi]] ulio upande wa mashariki wa Nairobi kati ya [[Dandora (Nairobi)|Dandora]] na [[Huruma (Nairobi)|Huruma]]. Kuna Kariobangi [[Kaskazini]]North na Kariobangi [[Kusini]]South; nyumba ziko za ghorofa lakini kuna pia maeneo ya mabanda.
 
Mtaa huu unajulikana sana kwa malori ya kusafirisha vifaa vya ujenzi kama vile changarawe, mawe na kadhalika.
 
{{Mbegu}}
 
[[Category:Mitaa ya Nairobi]]