Kizazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kizazi''' ni jina la kata ya Wilaya ya Kibondo katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na w...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kizazi''' ni kundi la watu waliozaliwa takriban wakati wa pamoja na kuwa watoto na vijana pamoja. Kwa hiyo inafanana kiasi fulani na "[[rika]]" katika jamii za Kiafrika lakini haitegemei sherehe za pamoja jinsi ilivyo katika rika.
'''Kizazi''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Kibondo]] katika [[Mkoa wa Kigoma]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,734 waishio humo. <ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kigoma Region - Kibondo District Council]</ref>
 
Kwa lugha nyingine kizazi ni pia watu ndani ya familia au ukoo ambao wamekuwa wazazi takriban wakati moja kwa kutofautisha na kizazi cha mababu waliotangulia au kizazi cha viijana kinachofuata.
==Marejeo==
 
{{marejeo}} {{Kata za Wilaya ya Kibondo }} [[Jamii:Wilaya ya Kibondo]] [[Jamii:Mkoa wa Kigoma]]
Kutokana na matumizi haya neno latumiwa pia kwa kutaja kipindi cha miaka, mara nyingi miaka 20 au 25.
 
[[jamii:Utamaduni]]
[[Jamii:Familia]]