Kipaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kipaji''' ni sehemu ya uwezo wa kufanya kitu fulanikwa ngazi fulani. KIpaji kinaweza kuwa cha kimwili au kiakili. Kipaji ni uwezo wa kuzaliwa nao wa kufa...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:59, 7 Mei 2016

Kipaji ni sehemu ya uwezo wa kufanya kitu fulanikwa ngazi fulani. KIpaji kinaweza kuwa cha kimwili au kiakili. Kipaji ni uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya kazi fulani kinaweza kikandelezwa au kutoendelezwa. Uwezo, ujuzi ulioendelezwa,maarifa au uhodari na mtazamo alionao mtu. Asili ya ndani ya kipaji ni kuonyesha ujuzi na mafanikio, ambayo huwakilisha maarifa au uwezo unaopatikana kupitia kujifunza.