Kulturkampf : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|200px|Papa Pius IX (1878 hivi). File:Bundesarchiv Bild 183-R29818, Otto von Bismarck.jpg|thumb|left|upright|Bismarck (1875...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:50, 7 Desemba 2016

Kulturkampf (kwa Kijerumani "Vita vya utamaduni") ni jina la ushindani kati ya serikali za nchi kadhaa, hasa Dola la Ujerumani chini ya kansela Otto von Bismarck, na Kanisa Katoliki katika karne ya 19[1][2][3][4][5][6].

Papa Pius IX (1878 hivi).
Bismarck (1875 hivi).

Serikali nyingi zilitaka kushika mamlaka zote juu ya raia zake, wakati Papa na maaskofu hawakupenda kupotewa na athira zao za muda mrefu juu ya waumini katika masuala ya kijamii.

Tanbihi

  1. Josef L. Altholz, "The Vatican Decrees Controversy, 1874-1875." Catholic Historical Review (1972): 593-605. in JSTOR
  2. Ramet, Sabrina in: Obstat, Nihil. Religion, Politics, and Social Change in East-Central Europe and Russia, Duke University Press, 1998, ISBN 978-0-8223-2070-8, p 107
  3. Borst, William in: "The Mexican Kulturkampf. The Christeros and the Crusade for the greater Glory of God", Mindszenty Report 54#8 August 2012:
  4. Morton, Adam in: Revolution and State in Modern Mexico (Rowman & Littlefield, 2011), p. 50, ISBN 9780742554900
  5. Martin, Percy in: Causes of the Collapse of the Brazilian Empire, The Hispanic American Historical Review, Duke University Press, 1921, Vol. 4, No. 1, pp. 4-48
  6. Dittrich, Lisa in: Antiklerikalismuns in Europa: Öffentlichkeit und Säkularisierung in Frankreich, Spanien und Deutschland (1848-1914), Vandenhoek & Ruprecht, Göttingen, 1914, ISBN 9783525310236

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kulturkampf kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.