Kidugala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kidugala''' ni jina la kata ya Wilaya ya Wanging'ombe katika Mkoa wa Njombe, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuw...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kidugala''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Wanging'ombe]] katika [[Mkoa wa Njombe]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,838 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Njombe - Wanging'ombe DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 59312 .
 
==Marejeo==
Wakazi wa Kidugala ni Wabena.
 
==Mwanzo wa misioni ya Kiluteri==
Katika karne ya 19 kulikuwa hapa na makao makuu ya Mwene Ngele (au Ngera). Huyu alikaribisha Wamisionari wa Shirika la Misioni ya Kiluteri ya Berlin walioanzisha hapa kituo chao kwenye mwaka 1898. Kutoka hapa Kidugala iliendelea kuwa kitovu cha misioni ya Kiluteri katika Ubena. Mwaka 1904 Wamisionari walianzisha shule kwa ajili ya wainjilisti iliyoendelea kuwa chuo cha Biblia baadaye. Kanisa lilijengwa 1908, karahana ya kuchapa vitabu 1910. Mwaka 1911 hospitali ya misioni ilikamilika. 1914 ushirika wa kiluteri ulikuwa na Wakristo 114 na Wakatekumeni 71.<ref>Altena, uk. 180</ref>
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
==Marejeo==
* Thorsten Altena: "Ein Häuflein Christen mitten in der Heidenwelt des dunklen Erdteils". Zum Selbst- und Fremdverständnis protestantischer Missionare im kolonialen Afrika 1884-1918 (= Internationale Hochschulschriften; Bd. 395), Münster: Waxmann 2003, 531 S., 12 Abb., 1 CD-Rom, ISBN 3-8309-1199-8
 
{{Kata za Wilaya ya Wanging'ombe}}
{{mbegu-jio-njombe}}