Wilaya ya Wanging'ombe

Wilaya ya Wanging'ombe ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Njombe. Ilianzishwa mwezi wa Machi 2012. Kabla ya hapo ilikuwa sehemu ya magharibi ya Wilaya ya Njombe katika Mkoa wa Iringa. Tangu Njombe kuwa mkoa, wilaya ya Njombe ya awali iligawiwa kwa wilaya za Wanging'ombe, Njombe Mjini na Njombe Vijijini.

Makao makuu ni kata ya Igwachanya.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 191,506 [1]. Wakati wa sensa ya mwaka 2012 wilaya hii ilikuwa na wakazi 161,816.[2].

Wilaya ya Wanging'ombe ilipoanzishwa, ikawa na kata 16:

Marejeo

hariri
  1. https://www.nbs.go.tz
  2. Sensa ya 2012, Njombe Region
  Kata za Wilaya ya Wanging'ombe - Tanzania  

Igima | Igosi | Igwachanya | Ilembula | Imalinyi | Itulahumba | Kidugala | Kijombe | Kipengele | Luduga | Makoga | Malangali | Mdandu | Saja | Udonja | Uhambule | Uhenga | Ulembwe | Usuka | Wangama | Wanging'ombe


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Wanging'ombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.