DJ Premier
Christopher Edward Martin (amezaliwa tar. 21 Machi 1966[1]) ni mtayarishaji wa rekodi na DJ kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Premier, na mtengenezaji wa muziki wa kundi la watu wawili Gang Starr, akiwa pamoja na rapa/mwimbaji Guru.
DJ Premier | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Christopher Edward Martin |
Amezaliwa | 21 Machi 1966 Houston, Texas, Marekani |
Asili yake | Houston, Texas, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mtayarishaji wa rekodi, DJ |
Ala | Drum machine Kinanda Sampler Turntable |
Miaka ya kazi | 1987–mpaka sasa |
Studio | Wild Pitch/EMI (1987–1990) Chrysalis/EMI (1991–1998) Virgin/EMI (1998–2003) Year Round (2003–) |
Kiasili anatokea mjini Houston, lakini ameishi zaidi mjini Brooklyn, New York, kwa ajili ya shughuli zake za kitaalamu. Premier anatazamika kama ndiye mbunifu kwa staili ya "hardcore East Coast hip-hop inayojulikana sana kwa ngoma zake nzito na michano."[2]
Gazeti la The Source limempa jina DJ Premier kuwa kama mmoja kati ya watayarishaji watano wakubwa wa muziki wa hip hop katika historia, wakati wahariri wa About.com wamempa cheo cha #1 katika orodha ya watayarishaji Bora-50.[3]
Matayarisho hariri
Sampuli hariri
Athira hariri
Mahusiano yake na wasanii hariri
Diskografia hariri
Marejeo hariri
- ↑ allmusic Biography
- ↑ Chris Ryan. "The Beatnuts Biography". Rolling Stone. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-03-14. Iliwekwa mnamo 2009-10-13. Unknown parameter
|=
ignored (help) - ↑ Henry Adaso; Ivan Rott, Renato P., Bhaskar S., Henry A. "Top 50 Hip-Hop Producers". About.com. uk. 8. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-10. Iliwekwa mnamo 2009-10-13.
Viungo vya Nje hariri
- DJPREMIER.NET Archived 11 Januari 2016 at the Wayback Machine. DJ Premier official website
- DJ Premier katika MySpace
- yearroundrecords.com Archived 6 Agosti 2005 at the Wayback Machine. Year Round Records Web Site
- DJ Premier Trackology A list of all the DJ Premier productions
- Video Interview with Primo Archived 24 Juni 2009 at the Wayback Machine.
- [1] Archived 27 Juni 2009 at the Wayback Machine. Thermal Soundwaves interview with DJ Premier
- DJ Premier Credit List (Discography) Archived 5 Septemba 2009 at the Wayback Machine. - beatbuggy.com
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu DJ Premier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |