Domitien Ndayizeye

Domitien Ndayizeye (amezaliwa 2 Mei 1951) ni mwanasiasa ambaye alikuwa Rais wa Burundi kutoka 2003 hadi 2005. Alirithiwa na Pierre Buyoya, kama rais tarehe 30 Aprili 2003, baada ya kutumika kama makamu wa rais wa Buyoya kwa miezi 18.

Ndayizeye alibaki ofisini hadi kurithiwa na Pierre Nkurunziza mnamo 26 Agosti 2005.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Domitien Ndayizeye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.