Pierre Buyoya

mwanasiasa wa burundi

Pierre Buyoya (Rutovu, Mkoa wa Bururi, 24 Novemba 1949 - Bonneuil-en-France, Ufaransa, 17 Desemba 2020) alikuwa askari (meja) na mwanasiasa wa Burundi ambaye alitawala nchi mara mbili, kutoka mwaka 1987 hadi 1993 na kutoka 1996 hadi 2003. Kwa hiyo miaka 13 ya pamoja kama Mkuu wa Nchi, Buyoya ndiye Rais wa Burundi aliyeongoza muda mrefu zaidi.

Pierre Buyoya

Pierre Buyoya, 2013

Muda wa Utawala
25 Julai 1996 – 30 Aprili 2003
Waziri Mkuu Pascal-Firmin Ndimira
Makamu wa Rais
mtangulizi Sylvestre Ntibantunganya
aliyemfuata Domitien Ndayizeye
Muda wa Utawala
9 Septemba 1987 – 10 Julai 1993
Waziri Mkuu Adrien Sibomana
mtangulizi Jean-Baptiste Bagaza
aliyemfuata Melchior Ndadaye

tarehe ya kuzaliwa (1949-11-24)24 Novemba 1949
Rutovu, Ruanda-Urundi
(saga Burundi)
tarehe ya kufa 17 Desemba 2020 (umri 71)
Bonneuil-en-France, Ufaransa
mahali pa kuzikiwa Bamako
chama Union for National Progress (UPRONA)
ndoa Sophie Ntaraka[1]
watoto 4
mhitimu wa Royal Military Academy
Military service
Allegiance Burundi

Mwaka 2020 alihukumiwa kwenda jela maisha kwa kumuua mwandamizi wake, Melchior Ndadaye mwaka 1993[2], lakini kabla hajafungwa alifariki dunia kutokana na virusi vya Corona.

Tanbihi

hariri
  1. McNeil, Donald G. Jr (1996-07-30). "New Leader of Burundi: Authoritarian Democrat". The New York Times. Iliwekwa mnamo 2020-12-23.
  2. https://www.mwananchi.co.tz/habari/kitaifa/Rais-wa-zamani-Burundi-afungwa-maisha/1597296-5633840-19y1wx/index.html
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pierre Buyoya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.