Glycerius (takriban 420 – baada ya 480) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 3 Machi, 473 hadi mwezi wa Juni 474. Alimfuata Olybrius. Baada ya enzi fupi tu, alijiuzulu na kukabidhi taji kwa Julius Nepos. Baadaye alikuwa askofu katika kanisa la kikatoliki.

shilingi ya kaizari Glycerius

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Glycerius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.