Kosma I wa Aleksandria

Kosma I wa Aleksandria (alifariki 28 Mei 730) kuanzia mwaka 729 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 44 wa Aleksandria (Misri).

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Lives of Saints :: Paona 3". www.copticchurch.net. Iliwekwa mnamo 2018-03-14. 

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.