Mulhacén ni mlima wa Ulaya, katika nchi ya Hispania.

Mlima wa Mulhacén, upande wa Magharibi

Urefu wake ni mita 3,479 juu ya usawa wa bahari. Hivyo ni wa juu kuliko milima yote ya Hispania bara.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mulhacén kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.