Ruben Loftus-Cheek

Mchezaji mpira wa Uingereza

Ruben Loftus-Cheek (alizaliwa 23 Januari 1996) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Chelsea Football Club iliyopo nchini Uingereza.

Ruben Loftus-Cheek

Ruben Loftus-Cheek anacheza katika nafasi ya kati au kiungo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ruben Loftus-Cheek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.