Santiago de Compostela
Santiago de Compostela ni mji wa Hispania, makao makuu ya jumuia ya kujitegemea ya Galicia, maarufu kama lengo la Njia ya Santiago kutokana na kanisa kuu la Mtume Yakobo.
Kwa ajili hiyo mji umo katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Santiago de Compostela travel guide kutoka Wikisafiri
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Santiago de Compostela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |