Machapuchare ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 6,993 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Mlima Machapuchare, maana ya jina lake "mkia wa samaki"

Uko nchini Nepal.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Machapuchare kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.