Madam C.J. Walker

Sarah Breedlove (Desemba 23, 1867 - Mei 25, 1919), anajulikana kama Madam C. J. Walker, alikuwa mjasiriamali wa Marekani na mshauri. Inasemekana kuwa ni mwanamke wa kwanza aliyekuwa milionea kwa nguvu zake mwenyewe nchini Marekani.

Madame C J walker
Madame C J walker

Alipokufa mali zake zilikuwa zenye thamani ya $ 600,000 (sawa na dola milioni 8 za leo). Kwa hiyo hii inaweza kuwa si kweli kabisa.

Alianzisha Madame C.J. Walker Manufacturing Company ambayo ilitoa huduma ya nywele hasa kwa wanawake Weusi.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Madam C.J. Walker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.