Madelene Olivier Van Aardt




Madelene Olivier Van Aardt (14 Agosti 1896,Graaff-Reinet - 6 Julai 1982) alikuwa mtunzi wa nyimbo,[1] mwalimu,[2] na mpiga kinanda nchini Afrika ya Kusini.[3].[2]Alikuwa mwanamke wa kwanza kutunga nyimbo katika lugha ya Kiafrikana.

Madelene Olivier Van Aardt
Nchi Afrika ya Kusini
Kazi yake mtunzi wa nyimbo mwalimu,[2] na mpiga kinanda



Van Aardt alizaliwa mjini Graaff-Reinet. Alipata nafasi ya kujiunga na diploma katika taasisi ya Trinity College London, kisha akarudi Afrika ya Kusini.[2]

Van Aardt alishirikiana na Mtunzi wa nyimbo na mpiga kinanda Felix de Cola katika kazi zake kadhaa. Muziki wake ulichapishwa na Voortrekkerpers[4]na Ardmore & Beechwood Ltd[3] na ulijumuishwa kwenye rekodi moja ya LP ya (Columbia AE 612)[3] [5]

Tanbihi hariri

  1. Hixon, Donald L. (1993). Women in music : an encyclopedic biobibliography. Don A. Hennessee (toleo la 2nd). Metuchen, N.J.: Scarecrow Press. ISBN 0-8108-2769-7. OCLC 28889156. 
  2. 2.0 2.1 2.2 "Madelene van Aardt", Wikipedia, 2020-08-14, iliwekwa mnamo 2021-04-20 
  3. 3.0 3.1 "ccm :: Aardt, Madelene van Aardt". composers-classical-music.com. Iliwekwa mnamo 2021-04-20. 
  4. Cohen, Aaron (1987). International Encyclopedia of Women Composers. New York: Books & Music U.S.A. Inc. uk. 714. ISBN 0961748524. 
  5. "Madeleine van Aardt". Discogs (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-04-20. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Madelene Olivier Van Aardt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.