Magatuzi ya Ugiriki

Hii ni orodha ya mikoa ((Kigiriki): περιφέρεια periphery) ya Ugiriki:

Ramani Namba Mkoa Mji mkuu Eneo (km²) Eneo (sq mi) Wakazi
 
1 Attica Athens 3,808 1,470 3,761,810
2 Ugiriki ya Kati Lamia 15,549 6,004 605,329
3 Masedonia ya Kati Thessaloniki 18,811 7,263 1,871,952
4 Crete Heraklion 8,259 3,189 601,131
5 Masedonia ya Mashariki na Thrace Komotini 14,157 5,466 611,067
6 Epirus Ioannina 9,203 3,553 353,820
7 Ionian Islands Corfu 2,307 891 212,984
8 Bahari ya Aegean ya Kaskazini Mytilene 3,836 1,481 206,121
9 Peloponnese Kalamata 15,490 5,981 638,942
10 Bahari ya Aegean ya Kusini Ermoupoli 5,286 2,041 302,686
11 Thessaly Larissa 14,037 5,420 753,888
12 Ugiriki ya Magharibi Patras 11,350 4,382 740,506
13 Masedonia ya Magharibi Kozani 9,451 3,649 301,522
- Mlima Athos (Autonomous) Karyes 390 151 2,262

Wilaya

hariri

Hii ni orodha ya wilaya za Ugiriki:

  1. (Tazama Mkoa wa Attica)
  2. Euboea
  3. Evrytania
  4. Phocis
  5. Phthiotis
  6. Boeotia
  7. Chalkidiki
  8. Imathia
  9. Kilkis
  10. Pella
  11. Pieria
  12. Serres
  13. Thessaloniki
  14. Chania
  15. Heraklion
  16. Lasithi
  17. Rethymno
  18. Drama
  19. Evros
  20. Kavala
  21. Rhodope
  22. Xanthi
  23. Arta
  24. Ioannina
  25. Preveza
  26. Thesprotia
  1. Corfu
  2. Kefallinia
  3. Lefkada
  4. Zakynthos
  5. Chios
  6. Lesbos
  7. Samos
  8. Arcadia
  9. Argolis
  10. Corinthia
  11. Laconia
  12. Messinia
  13. Cyclades
  14. Dodecanese
  15. Karditsa
  16. Larissa
  17. Magnesia
  18. Trikala
  19. Achaea
  20. Aetolia-Acarnania
  21. Elis
  22. Florina
  23. Grevena
  24. Kastoria
  25. Kozani

a Mlima Athos

 

 
Wilaya za Mkoa wa Attica

Mkoa wa Attica:

  1. Athens
  2. East Attica
  3. Piraeus
  4. West Attica
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Magatuzi ya Ugiriki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.