Magendo
Magendo (kwa Kiingereza: smuggling) ni jinai inayohusu usafirishaji haramu wa bidhaa, vitu au watu kuvukia mipaka ndani au nje ya nchi fulani. Ndani ya nchi fulani vitu husafirishwa kwa namna haramu kama yanatakiwa kuonyeshwa kwenye mageti za taasisi kama vile gereza, bandari au vituo vya kudhibiti biashara.
Mara nyingi magendo hutekelezwa kwa shabaha ya kuepuka kulipia ushuru wa forodha au kufanya biashara na bidhaa haramu kama madawa ya kulevya.
Marejeo
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Smuggling in 18th and 19th century Britain
- Smuggled Goods and Products information
- King's Cutters and Smugglers 1700-1855, by E. Keble Chatterton, from Project Gutenberg
- "Organized Crime." Oxford Bibliographies Online: Criminology. Ilihifadhiwa 25 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine.
- Shirika inayofanya kazi dhidi ya magendo ya watu
- Ansar Burney Trust - working in the Middle East
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Magendo kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |