Mahnaz Afkhami
Mwanaharakati wa haki za binadamu na usawa wa kijinsia
Mahnaz Afkhami (alizaliwa Januari 14, 1941) ni raia wa Irani, mwanaharakati wa haki za wanawake ambaye alihudumu katika Baraza la Mawaziri la Irani kuanzia mwaka 1976 hadi 1978.
Ni mwanzilishi na rais wa Women's Learning Partnership (WLP) na pia mkurugenzi mkuu wa shirika la Foundation for Iranian Studies.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Staff | Foundation for Iranian Studies". Bethesda, MD, USA: Foundation for Iranian Studies. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-11-17. Iliwekwa mnamo 2013-03-09.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mahnaz Afkhami kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |