14 Januari
tarehe
(Elekezwa kutoka Januari 14)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Januari ni siku ya kumi na nne ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 351 (352 katika miaka mirefu).
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1702 - Nakamikado, Mfalme Mkuu wa 114 wa Japani (1709-1735)
- 1875 - Albert Schweitzer, daktari na mwanafalsafa kutoka Ufaransa, mmisionari nchini Gabon, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1952
- 1943 - Ralph Steinman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2011
- 1946 - Harold Shipman, daktari na muuaji mfululizo kutoka Uingereza
- 1948 - Carl Weathers, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1969 - Jason Bateman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1753 - Askofu George Berkeley, mwanafalsafa wa Uingereza
- 1867 - Jean-Auguste-Dominique Ingres, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1957 - Humphrey Bogart, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2013 - Conrad Bain, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Potito wa Sardica, Gliseri wa Antiokia, Felisi wa Nola, wafiadini wa Raithu, Nino wa Georgia, Firmino wa Mende, Eufrasi wa Clermont, Dasyo wa Milano, Fuljensi wa Ecija, Lazaro Devasahayam Pillai n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |