Majadiliano:Black Panther: Wakanda Forever

Latest comment: mwaka 1 uliopita by Ayo9 in topic Tunarekebisha

Salamu, si tu vyanzo ila makala hii tayari imeandikwa tazama Black Panther (filamu). Amani sana.

Tunarekebisha

hariri

Asante,marekebisho yanafanyika punde,Idd ninga (majadiliano) 18:59, 7 Februari 2023 (UTC)Reply

Hizo ni filamu mbili tofauti, ya kwanza ya mwaka 2018 na ya pili ya mwaka 2022,Idd ninga (majadiliano) 19:01, 7 Februari 2023 (UTC)Reply
Nimejaribu kuipitia kwa makini; nime gundua muandishi alikua akilenga kuandika Black Panther sehemu ya pili, waweza pitia tena na kuondoa kigezo utakapo ona ipo sawa. Amani. Ayo9 (majadiliano) 19:06, 7 Februari 2023 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Black Panther: Wakanda Forever ".