Majadiliano:Dubai Desert Classic

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Lugha??

Lugha?? hariri

Makala haipendezi maana tafsiri haikukamilika. Vigezo visivyosomeka vina kazi gani? --Kipala (majadiliano) 16:35, 5 Januari 2010 (UTC)Reply

Eeeeh, hata miye nimeliona. Labda tumwambie atafsiri vigezo vile na visibaki kwa Kiingereza kama vilivyo. Jamaa anasikia utamu kuanzisha vigezo hivi, lakini hajui adha ya kutafsiri vigezo vile. Pole yake. Lakini mwanzo mzuri wa kupata uzoefu wa kiwiki!--MwanaharakatiLonga 17:21, 5 Januari 2010 (UTC)Reply
Return to "Dubai Desert Classic" page.