Majadiliano:Embriolojia

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Karibu ! naona hii ni kati ya makala ya kwanza ya mradi wa afya. Mchangiaji mpya anakaribishwa sana kujiandikisha kwa jina wakati wa kuingia wikipedia akiendeleza kazi yake. Nitajitahidi kupitiliza makala na kuweka viungo kwa makala zilizopo tayari au zinazohitajika kutokana na yaliyomo ya makala. Kipala (majadiliano) 14:34, 17 Septemba 2010 (UTC)Reply

Mzee Kipala, hii si makala ya kwanza. Tayari ilishatangulia ya Unyogovu na Mzunguko wa moyo! Tuendelee kutazama!--MwanaharakatiLonga 15:15, 17 Septemba 2010 (UTC)Reply
Return to "Embriolojia" page.