Majadiliano:Ernesto Sanga

Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala in topic Makala itafutwa

Kukosekana kwa marejeo hariri

Habari, makala hii haina marejeo yoyote, hivyo kama kuna mahali ulipata taarifa hii ningeomba uhariri upya makala hii. Czeus25 Masele (majadiliano) 16:37, 10 Septemba 2018 (UTC)Reply

Makala itafutwa hariri

Hii inaonekana ni makala mtumiaji aliandika juu yake mwenyewe. Anakaribishwa kuhamisha matini kwenye ukurasa wale wa mtumiaji. Menginevyo hakuna dalili ya kwamba anayetajwa humo anastahili nafasi kati ya makala za wikipedia. Mtungaji anashauriwa kuhamisha maudhui katika siku chche kabla ya makala hii haijafutwa. Kipala (majadiliano) 16:47, 10 Septemba 2018 (UTC)Reply

Return to "Ernesto Sanga" page.