Majadiliano:Haruna Niyonzima

Latest comment: miaka 8 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Ni makala iliyotungwa na kijana Silausi. Kasoro ni ifuatazo:

  • jina la makala kwenye mwanzo wa mstari wa kanza inekane kwa herufi koze
  • asitumie maneno kama "mashuhuri" - au alete vyanzo. Klabu ni klabu, "mashuhuri" ni hoja si habari. Angeweza kusema "klabu ya ligi kuu" au lugha nyingine ya habari.
  • kila makala inahitaji jamii.

Kipala (majadiliano) 08:10, 3 Septemba 2015 (UTC)Reply


Bado hakuna jamii. Kipala (majadiliano) 22:13, 5 Septemba 2015 (UTC)Reply
Nimeisawazisha.--MwanaharakatiLonga 13:10, 16 Septemba 2015 (UTC)Reply
Return to "Haruna Niyonzima" page.