Majadiliano:Hifadhi ya Mikumi
Mwanzo ni mzuri; bado kazi
ushauri:
- kichwa hakitakiwa mwanzoni mwa makala (wikipedia inakiweka tayari);
- jina la mwandishi liondolewe;
- viungo vya ndani vyatakiwa, k.m. kuweka "simba" katika mabano mraba iwe simba
- jamii iwekwe
- kuhusu tahajia ya majina ni vema kutafuta maneno kupitia dirisha la "tafuta" (kushoto) kwa mfano utakuta "selous" badala ya "selouse" na kuweka viungo ipasavyo.
KWA JUMLA: ANgalia wikipedia:Ukufunzi --Kipala (majadiliano) 07:09, 5 Desemba 2009 (UTC)
Interwiki
haririInterwiki yako haiwezi kufanya kazi. Ukinakili orodha unakili pamoja na kifupi cha lugha au wikipedia nyingine. Ukiongeza ndani ya mabano mraba "de:" kabla ya "Mikumi-Nationalpark" umeshapata interwiki kwa de:wikipedia. Yote ni: [[de:Mikumi-Nationalpark]] . Hii usiweke chini ya kichwa kwa sababu mara unaiweka inaonekana kando kabisa upande wa kushoto wa dirisha la kompyuta. Kichwa kitabaki bila kitu chini yake, ni bure. --Kipala (majadiliano) 22:55, 8 Desemba 2009 (UTC)
elimu katika hifadhi
haririkuna elimu kubwa katika endapo utaelekea katika hifadhi hii na kuona mambo mengi ambayo mengine tangu uzaliwe hujawahi kuona na mengine mengi na kadhalika.