Majadiliano:Kiluwiluwi (ndege)

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala

Tunahitaji kutofautisha ndege na kiluwiluwi kama nagazi ya metamofosi wa chura na amfibia wengine. Tufanyeje? --Kipala (majadiliano) 19:36, 10 Desemba 2008 (UTC)Reply

Nimesogeza ukurasa. ChriKo (majadiliano) 23:16, 10 Desemba 2008 (UTC)Reply
Asante, kiluwiluwi ni zaidi hali ya metamofosi ya wadudu; inatumiwa pia kwa amfibia (en:tadpole) lakini KAST ina neno "ndumbwi"; siwezi kuiona katika kamusi nyingine lakini nitaendelea nalo. --Kipala (majadiliano) 06:29, 11 Desemba 2008 (UTC)Reply
Return to "Kiluwiluwi (ndege)" page.