Majadiliano:Masoko (Kilwa)

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Majina kama Masoko (Majengo, Uzunguni, nk) ni kawaida mahali pengi. Naona afadhali tukifikiri ni jina linalotumiwa penginepo tuongeze jina la wilaya katika mabano. Hii sababu nimehamisha makala, linganisha Masoko (Rungwe). --Kipala (majadiliano) 07:59, 13 Januari 2009 (UTC)Reply

Kumne naona makala ipo tayari "Kilwa Masoko" - basi naunganisha. --Kipala (majadiliano) 09:06, 13 Januari 2009 (UTC)Reply

Haina neno mzee wangu, we unganisha tu!--Mwanaharakati (Longa) 09:52, 13 Januari 2009 (UTC)Reply
Return to "Masoko (Kilwa)" page.