Majadiliano:Matumizi ya Lugha
Latest comment: miaka 11 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Lazima makala hii ibadilishwe. Ilivyo sasa ni shauri kwa mtihani wa Kenya, lakini siyo kuhusu matumizi ya lugha yenyewe yanavyomaanishwa katika istilahi ya kiisimu. Hata hivyo, hakuna makala ya "Language use" au "Language usage" katika wikipedia ya Kiingereza. Labda habari za makala hii ziingizwe katika makala ya lugha au ya sarufi kwa jumla. --Baba Tabita (majadiliano) 10:11, 19 Aprili 2010 (UTC)
- BT, salaam. Usemacho ni kweli. Yaliyomo ndani mengi ni majanga - kheri ihamie katika makala za lugha labda italeta maana zaidi. Nani sasa wa kuhamisha? Binafsi ninaamini hii ni sekta yako! Endelea tu, ndugu.--MwanaharakatiLonga 12:54, 12 Desemba 2013 (UTC)