Majadiliano:Mbute
Latest comment: miaka 7 iliyopita by Enock John in topic Viazi vitamu au muhogo?
Viazi vitamu au muhogo?
haririNinavyojua mbute ni chakula cha viazi vitamu. Je ni pia jina kwa chakula cha muhogo au viazi vingine???Kipala (majadiliano) 10:26, 5 Aprili 2015 (UTC)
mbute ni jina la chakula cha muhogo!(imeandikwa 5 Aprili 2015 12:43 na mtumiaji:Enock John)
- Asante, Viazi vitamu vinavyopikwa na kukaushwa vinaitwaje? Kipala (majadiliano) 18:39, 5 Aprili 2015 (UTC)
- Habari! mzee kipala, asante kwa swali lako, Viazi vitamu vilivyopikwa na kuanikwa vinaitwa Matobolwa.
- Kumbe, asante! Hapa umesahihisha maprofesa wa TUKI walioweka hii katika kamusi yao:
:::mbute nm i-/zi- boiled and dried sweet potatoes. - menginevyo naomba usisahau kutia saini yako ukimaliza. inatosha kuweka ala 4 za ~~~~ Kipala (majadiliano) 12:32, 6 Aprili 2015 (UTC)
- Kumbe, asante! Hapa umesahihisha maprofesa wa TUKI walioweka hii katika kamusi yao:
- Asante kwa kunikumbusha. na nimefurahi kusikia kuhusu TUKI'Enock John (majadiliano)' 16:40, 6 Aprili 2015 (UTC)
- Salaam mzee kipara. Kuhusu ulicho kiongezea kuhusu mbute upo sahihi kabisaEnock John (majadiliano) 12:19, 29 Mei 2017 (UTC)