Majadiliano:Nadharia ya uhusianifu

Latest comment: miaka 12 iliyopita by Kipala

Nasema kiswahili kidogo tu. Msaidie...asante. --Fashionslide (majadiliano) 21:57, 8 Aprili 2012 (UTC)Reply

Hakika si "Nadharia ya uhusiano". Labda "uhusianifu"? Maana KAST inatumia "husianifu" kwa "relative". --Kipala (majadiliano) 14:22, 9 Aprili 2012 (UTC)Reply

BAsi nakumbuka temshatumia "nadharia ya uhusianifu" katika Kasi ya nuru na shimo jeusi --Kipala (majadiliano) 14:25, 9 Aprili 2012 (UTC)Reply

Fashionslide, I agree with you that your Kiswahili is very limited. That is ONE very good reason not to edit again without PREVIOUSLY asking someone about it. If it is not detected we have nonsense that will remain for a long time. Kipala (majadiliano) 14:31, 9 Aprili 2012 (UTC)Reply

Asante. Samahani.--207.233.86.123
Tunashukuru ukichangia kitu. Ila tu kama Kiswahili chako ni hafifu peleka kwanza mapendekezo au hoja kwenye ukurasa wa majadiliano na ukuomba ushauri. Karibu sana. Kipala (majadiliano) 14:16, 11 Aprili 2012 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Nadharia ya uhusianifu ".