Majadiliano:Neno

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Kipala

He! Eti mofimu maanake nini? Naona maluweluwe mwenzenu!--Mwanaharakati (Longa) 17:07, 24 Novemba 2008 (UTC)Reply

Angalia mofimu; mambo haya yanatokana na orodha ile ya makala 1000 ambayo naendelea kushughulika. --Kipala (majadiliano) 20:56, 24 Novemba 2008 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Neno ".