Majadiliano:Parokia ya Kishogo

Latest comment: miaka 4 iliyopita by Kipala
Habari,
Makala hii inakiuka moja misingi ya uandishi kwa sababu haina vyanzo vya habari yake, hivyo ni vizuri kuboresha kwa kuandika vyanzo mbalimbali. Ahsante Czeus25 Masele (majadiliano) 14:23, 5 Aprili 2020 (UTC)Reply
Hadi sasa tulivumilia habari za kimahali (kama vile habari kuhusu kata na pia jamii za Tanzania kama utamaduni wa makabila, lakini si juu ya ngazi ya kata) hata bila ushahidi. Maana hali halisi kwa maeneo yale karibu yote hakuna vyanzo vya kimaandishi. Upande wa wakabidhi tuliona tufanya hivyo isipokuwa kama nafasi hiyo inatumiwa kukashifu watu wengine au kukazia sifa za watu walio hai.Kipala (majadiliano) 17:02, 5 Aprili 2020 (UTC)Reply
Return to "Parokia ya Kishogo" page.