Majadiliano:Rhine Kaskazini-Westfalia
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Ihamishwe?
Ihamishwe?
haririJe si afadhali tukihamisha makala kwenda Rhine Kaskazini - Westfalia? Linganisha makala ya Ujerumani na orodha ya majimbo mle. Yaani jina lenyewe ni "Nordrhein-Westfalen" na jina la Kiingereza ni tafsiri tu. Nakubali kuweka jina la Kiingereza kama umbo la kuelekeza kwenda jina la Kiswahili. Mnaonaje? --Kipala (majadiliano) 19:06, 4 Desemba 2008 (UTC)
- Mimi, Mzee wangu sijui lolote kuhusiana na jina hili Nimeweka tu, kama jinsi linavyoonekana kutoka huko Wikipedia kwa Kiingereza! Ni bora tuweke kwa Kiswahili na wala hakuna haja ya ku-redirect. Tuipe jina la Kiswahili. Hamisha tu!--Mwanaharakati (Longa) 05:13, 5 Desemba 2008 (UTC)