Majadiliano:Rosa Mistika
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Makala haifai jinsi ilivyo. Haina habari za maudhui ya kitabu bali tu maoni ya mtungaji kuhusu sababu za kupigwa marufuku kwake zamani. Haielezi kwamba baadaye ilikuwa kitabu kilchotumiwa shuleni Tanzania na Kenya. Haina vyanzo vyovyote. Isahihishwe haraka au heri kufutwa. Kipala (majadiliano) 16:29, 23 Agosti 2020 (UTC)
- Naona imesawazishwa! Safi! Halafu siku hizi kumbe kuna "reply" na jina linaandika yenyewe? Loh! Tumeendelea kwelikweli... Muddyb Mwanaharakati Longa 08:15, 8 Desemba 2021 (UTC)