Majadiliano:Sanamu ya Uhuru

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala in topic Sanamu ina au lina??

Sanamu ina au lina?? hariri

Sijawahi kuona masanamu mengi ni sanamu nyingi sivyo? Halafu ingekuwa sanamu inayosimama si linalosimama. Vipi? --Kipala (majadiliano) 14:03, 11 Machi 2009 (UTC)Reply

Umm, yakiwa mengi na makubwa yanaitwa masanamu! Kwa sababu ni kubwa sana, basi sanamu linasimama kwa urefu wa.. Au sanamu linaurefu wa futi kadhaa... Sijui. Mimi ni Mswahili tu na sijasomea lugha! Sawazisha ukiona si sahihi!--!Mwanaharakati (Longa) 16:03, 11 Machi 2009 (UTC)Reply
Nifanyeje?? Kama wewe Mswahili unasema na kuonyesha dalili za uhakika basi. Kamusi zangu zinasema tofauti lakini si kamusi zinazosoma makala zetu ni watu. --Kipala (majadiliano) 20:39, 11 Machi 2009 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Sanamu ya Uhuru ".