Balakliia or Balakleya ni wilaya kubwa kuliko zote katika mkoa wa Kharkiv, mashariki mwa Ukraina.

Ramani inaonyesha wilaya ya Balakliia katika mkoa wa Kharkiv

Eneo la wilaya ni km² 1,986.4, Idadi ya wakazi ni 78,337 (kadirio la 2020)[1]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Балаклейская городская громада" (kwa Kirusi). Портал об'єднаних громад України.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Balakliia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.