Kharkov
(Elekezwa kutoka Kharkiv)
Kharkiv (jina la Kiukraine; kwa Kirusi: Ха́рьков kharkov) ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine. Iko kaskazini mwa Ukraine. Ni mji wa elimu, taasisi za kisayansi, viwanda vingi na kitovu cha njia za usafiri.
Mji ulianzishwa mwaka 1655. Idadi ya wakazi ilikuwa 1,449,000 mwaka 2010.
MarejeoEdit
Tovuti za NjeEdit
Angalia mengine kuhusu Kharkiv kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary | |
picha na media kutoka Commons | |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity | |
nukuu kutoka Wikiquote | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource | |
vitabu kutoka Wikibooks |
- Citynet UA — Official website of Kharkiv City Information Centre (Kiingereza)/(Kiukraine)
- Misto Kharkiv — Official website of Kharkiv City Council (Kiingereza)/(Kiukraine)
- Tovuti ya Kituo Kikuu cha Habari cha Kharkiv City[dead link]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kharkov kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |