Majadiliano:Yericko Y. Nyerere

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Czeus25 Masele in topic Ifutwe

Makala ya ajabu; mkusanyiko wa viungo mabavyo havisemi kitu, haieleweki kiungo gani inataka kuonyesha nini, isipokuwa taarifa ya gazeti yenye habari ambazo haionekani kwenye makala. iandikwe upya kabisa au kufutwa. Sijui, ni makala ya mwenyewe? Nikiona hati binafsi za chuo? Kipala (majadiliano) 23:00, 6 Septemba 2021 (UTC)Reply

Ifutwe hariri

Makala ni mbaya ifutwe. Czeus25 Masele (majadiliano) 09:00, 7 Septemba 2021 (UTC)Reply

Return to "Yericko Y. Nyerere" page.