Majadiliano ya Wikipedia:Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanuliwa

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala

Bado utata kidogo. Hii inajihesabu kama makala, yaani ipo katika sehemu ya "Namespace" (Kiswahihili chake sijui - labda sehemu kuu ya kuandikia makala). Hivyo haistahili kuwa hapa! Inabidi ihamishwe na ipelekwe: Wikipedia:Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanushwa, ili kuondoa dhana ya kujihesabu kama makala. Ni ushauri tu, je, vipi mwenzangu unalionaje hilo?--Mwanaharakati (Longa) 05:42, 25 Novemba 2008 (UTC)Reply

Sawa, imehamishwa --Kipala (majadiliano) 06:45, 25 Novemba 2008 (UTC)Reply
Return to the project page "Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanuliwa".