Ufutaji wa Makala: WCB Wasafi hariri

Amani kwako! Makala uliyoanzisha inakinzana na taratibu za uandishi, hivyo imependekezwa kufutwa. Unaweza kuitetea kwa kuandika sababu kwa nini unaona inafaa iendelee kubaki katika ukurasa wa majadiliano. Czeus25 Masele (majadiliano) 04:38, 12 Aprili 2020 (UTC)Reply

Huu ni ukurasa wa majadiliano kwa mtumiaji asiyejulikana ambaye bado hajafungua akaunti, au ambaye haitumii. 

Kwa hivyo inatubidi kutumia anwani ya IP ya nambari ili kuwatambua. Anwani kama hiyo ya IP inaweza kushirikiwa na watumiaji kadhaa. Ikiwa wewe ni mtumiaji asiyejulikana na unahisi kuwa maoni yasiyo na maana yameelekezwa kwako, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganyikiwa kwa watumiaji katika siku za usoni na wengine wasiojulikana.