Salam, Academycanada! Karibu na hongera kwa makala yako ya kwanza ya Seyed Reza Hosseini Nassab! Umefanya vizuri sana. Dhahiri si mgeni kwenye matumzi ya zana za wiki!! Basi tunategemea mengi kutoka kwako. Si vibaya ukitalii tena kwenye ukurasa wa mwongozo wa kuhariri Wikipedia! Karibu tena na tena. Wako, Muddyb au--MwanaharakatiLonga 07:47, 19 Juni 2010 (UTC) Reply